MAARIFA
YENYE MAFUTA YA KIMUNGU:
Ukisikia
mtu anatafutwa ujue anakitu kinachofanya atafutwe, wakati mwingine anaweza
asionekane sana lakini pindi anapohitajika basi hapo anakuwa lulu.
Mfano.mfalme
Suleiman alikuwa anatafutwa na watu wengi wenye hadhi kubwa na ndogo kutoka
sehemu mbalimbali za dunia.
Mtu
anaweza kuwekwa au kuonana na watu wakubwa ulimwenguni (maraisi, mawaziri na
watu wenye uwezo tofautitofauti)
Ni
bora ukose Mali na vitu vya thamani vinavyoonekana kuliko upate vyote halafu
hukose maarifa yenye mafuta ya kimungu.
Mfano.suleimani
aliomba hekima toka juu na vingine vikaja pasipo kuomba wala kufunga bali bwana
alionauhitaji akatoa.
Lazima
akili yako isielewe bali Roho mtakatifu ahieleweshe.
Kunatofauti
kubwa sana kati kuwa na maarifa na kuwa na maarifa yenye mafuta ya kimungu.
Havifanani wala havifananishwi.
Hivyo
ujue hauhitaji maarifa bali unahitaji maarifa yenye maongozi ya Roho mtakatifu.
Maarifa
haya yanazaliwa na Roho mtakatifu toka ndani yako ila kama unae na umempa
nafasi ya kutosha.
Utofauti
mkubwa kati yako na wadunia ni kutembea katika maarifa yenye mafuta ya kimungu
tofauti ya hapo hakuna utofauti. Ulio wa maana mbele za
Mungu.
FAIDA YA KUWA NA MAARIFA YENYE MAFUTA:
I. nguvu ya kusimamia hadhina ya kimungu.
Namna
unavyosimamia hadhina ya Mungu ndivyo unavyo jenga msingi wa mafanikio yako.
II .nguvu ya kusikia sauti kuliko mambo mengine.
Ushabiki
na mbwembwe kukosa nafasi ndani yako unavyosikia na kuchukua hatua ni Mungu
anachukua maamuzi.
Prepared by ;
Nelson, Cothey – 0764 018 535
or cotheyn@yahoo.com